Simu Kujaa na Kustack: Iharakishe Bila Kununua Mpya

Angalia ndani 👀

Simu Kujaa na Kustack: Iharakishe Bila Kununua Mpya

Kupata nafasi (WhatsApp media, cache, picha), kuharakisha simu, kuokoa chaji na bando, na lini ni wakati wa kurekebisha au kubadilisha.
📄 Kurasa 5🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 10 kusoma
TSh 1,000TSh 1,500
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Kwa nini simu inastack
  • WhatsApp: chanzo kikuu cha kujaa
  • Hatua 10 za kupata nafasi
  • Kuharakisha simu
  • Kuokoa chaji na bando
  • Usalama wa programu

Angalia ndani 👀

'Storage full' na simu kustack ni malalamiko ya kila siku. Hatua 10 rahisi zinaweza kuirudishia simu yako kasi.

Kwa ajili ya: Watumiaji wa simu za Android (na iPhone)

Unaweza pia kupenda

TSh 1,000
Nunua sasa
💬