
Angalia ndani 👀


Mtoto Kuchelewa Kuongea: Hatua kwa Wazazi
Hatua za kuongea kwa umri, sababu za kuchelewa, michezo 10 ya kila siku inayokuza lugha, skrini, na lini apimwe usikivu.
TSh 2,000TSh 3,000
Utajifunza nini?
- Jedwali la hatua za kuongea kwa umri
- Sababu za kuchelewa
- Michezo 10 ya kukuza lugha
- Skrini na lugha
- Lugha mbili nyumbani – ni sawa?
- Dalili za kumpeleka kwa mtaalamu
Angalia ndani 👀


Kila mtoto hukua kwa kasi yake, lakini kuna hatua za kuangalia. Kijitabu hiki kinakusaidia kujua kama mtoto yuko sawa na jinsi ya kumsaidia nyumbani.
Kwa ajili ya: Wazazi na walezi wa watoto wa miezi 6 hadi miaka 5
Unaweza pia kupenda
-33% Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
Chanzo halisi (sio pilipili!), vipimo, dawa zinazotibu kweli, chakula sahihi, na kwa nini vidonda hurudi.
TSh 3,000TSh 4,500
-40% Gesi Tumboni na Kiungulia: Tumbo Tulivu
Kwa nini tumbo linajaa na kifua kinaungua, vyakula vinavyochochea, na hatua za haraka na za kudumu.
TSh 1,500TSh 2,500
-38% Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali
Kwa nini inatokea, hatua 7 za kupunguza maumivu na damu nyumbani, dawa, tiba za hospitali – na ukweli kuhusu 'bawasiri na nguvu za kiume'.
TSh 2,500TSh 4,000
-33% Ngiri: Ukweli, Hatari na Tiba
Aina za ngiri, dalili za hatari zinazohitaji hospitali mara moja, kwa nini dawa haiponyeshi ngiri, na upasuaji unavyofanyika.
TSh 2,000TSh 3,000
TSh 2,000
Nunua sasa