Mkataba wa Kupanga Nyumba: Haki za Mpangaji na Mwenye Nyumba

Angalia ndani 👀

Mkataba wa Kupanga Nyumba: Haki za Mpangaji na Mwenye Nyumba

Vipengele 12 vya mkataba mzuri, kodi ya mapema na amana, matengenezo, kuondoka/kutolewa, risiti, na kutatua migogoro.
📄 Kurasa 5🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 10 kusoma
TSh 1,000TSh 2,000
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Kwa nini mkataba wa maandishi
  • Vipengele 12 vya mkataba
  • Kodi ya miezi mingi mbele na amana
  • Nani anatengeneza nini
  • Kuondoka na notisi
  • Kutatua migogoro
  • Mfano wa mkataba mfupi

Angalia ndani 👀

Migogoro mingi ya kupanga inatokana na makubaliano ya mdomo. Mkataba rahisi wa maandishi unamlinda mpangaji na mwenye nyumba.

Kwa ajili ya: Wapangaji na wenye nyumba

Unaweza pia kupenda

TSh 1,000
Nunua sasa
💬