Kusajili Biashara: BRELA, TIN na Leseni

Angalia ndani 👀

Kusajili Biashara: BRELA, TIN na Leseni

Hatua kwa hatua: jina la biashara au kampuni, TIN ya mtu binafsi na ya biashara, leseni ya halmashauri, kodi ya mwanzo, na makosa ya kuepuka.
📄 Kurasa 7🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 14 kusoma
TSh 2,000TSh 3,500
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Faida 5 za kurasimisha biashara
  • Jina la biashara vs kampuni – ipi ikufae
  • Hatua za BRELA mtandaoni
  • TIN ya mtu binafsi na ya biashara
  • Leseni ya biashara ya halmashauri
  • Kodi na kumbukumbu za mwanzo
  • Orodha ya nyaraka

Angalia ndani 👀

Biashara rasmi inaaminika na wateja, inapata tenda, mikopo ya benki na fursa za kimataifa. Mchakato mwingi sasa unafanyika mtandaoni.

Kwa ajili ya: Wajasiriamali wanaotaka kurasimisha biashara

Unaweza pia kupenda

TSh 2,000
Nunua sasa
💬