Harufu Mbaya ya Mdomo: Iondoe kwa Siku 14

Angalia ndani 👀

Harufu Mbaya ya Mdomo: Iondoe kwa Siku 14

Chanzo cha 90% ya harufu kiko mdomoni – jifunze kukiondoa
📄 Kurasa 8🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 16 kusoma
TSh 1,500TSh 2,500
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Majaribio 3 ya kujua kama unanuka kweli
  • Siri ya kusafisha ulimi
  • Mpango wa mswaki na uzi wa meno
  • Dawa za kusukutua zinazofanya kazi (viambato vya kusoma)
  • Mswaki wa mti, karafuu na tiba za nyumbani
  • Changamoto ya siku 14
  • Dalili za kwenda kwa daktari wa meno

Angalia ndani 👀

Watu wanakwepa kuongea na wewe karibu? Unaficha mdomo ukicheka? Tafiti za madaktari wa meno zinaonyesha 9 kati ya 10 ya harufu inaanzia mdomoni – na inarekebishika nyumbani.

Kwa ajili ya: Kila mtu – vijana na watu wazima

Unaweza pia kupenda

TSh 1,500
Nunua sasa
💬