Haki Zako Ukidaiwa na App za Mikopo

Angalia ndani 👀

Haki Zako Ukidaiwa na App za Mikopo

Wanachokatazwa wakopeshaji wa mtandaoni na BoT, jinsi ya kuangalia kama wana leseni, kulalamika, na mpango wa kujinasua kwenye madeni.
📄 Kurasa 8🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 16 kusoma
TSh 1,500TSh 3,000
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Mikopo ya 'kausha damu' ni nini
  • Vitendo 6 BoT imevikataza
  • Kuangalia kama mkopeshaji ana leseni
  • Kusoma mkataba: riba na gharama zilizofichwa
  • Jinsi ya kulalamika hatua kwa hatua
  • Mpango wa kulipa madeni (mbinu 2)
  • Usikope kulipa deni: njia mbadala

Angalia ndani 👀

Wakopeshaji wa mtandaoni wamekuwa wakiwatumia ndugu zako meseji na kukudhalilisha mitandaoni. Benki Kuu imepiga marufuku vitendo hivi. Jua haki zako na jinsi ya kutoka kwenye mzunguko wa madeni.

Kwa ajili ya: Wanaokopa kupitia app za simu, wafanyabiashara wadogo, vijana

Unaweza pia kupenda

TSh 1,500
Nunua sasa
💬